Ecclesiastes 7:2-4

2 aAfadhali kwenda kwenye nyumba ya msiba
kuliko kwenda kwenye nyumba ya karamu,
kwa kuwa kifo ni hatima ya kila mwanadamu,
imewapasa walio hai kuliweka hili mioyoni mwao.
3 bHuzuni ni afadhali kuliko kicheko,
kwa sababu uso wenye huzuni wafaa kwa moyo.
4 cMoyo wa wenye hekima uko katika nyumba ya msiba,
lakini moyo wa wapumbavu uko katika nyumba ya anasa.
Copyright information for SwhNEN